Sababu
muhimu kuliko zote ya kujitoa kwa OSTADH JUMA NA MUSOMA MTANASHATI, na
sio kufukuzwa kama alivyowadanganya waTANZANIA ni hii hapa. Nilienda
mtashati kwa ajili ya kuhitaji usimamizi thabiti wa kazi zangu ili
niweze kufika mbali na kutambulika zaidi EAST AFRICA,AFRICA na dunia
kiujumla ndo maana nikaingia mtanashati! ckufata ela za OSTADH JUMA,
baada ya kuingia nikagundua kwmba kwa ostadh jum
a
akuna hilo. Ila lililopo sio kazi bali OSTADH JUMA anahtaji zaidi u
STAR, UMAARUFU na kujulikana TANZANIA zaidi hta ya wasanii. hilo
niligundua pale 2 ambapo hata ukiiimba nyimbo na R KERRY au LIL WAYNE
alaf ujamtaja OSTADH JUMA NA MUSOMA au kumuandika kwnye video iyo NYIMBO
AIPOKEI, hvyo nikaona hapa akuna kazi zaidi ya kumpa SIFA M2. la pili!
OSTADH JUMA yuko tayari kumwaga hata million 10 kwa wa2 wa media ili
aonekane tajiri na asifiwe kwnye vyombo vya habari na wakati huo huo
msanii una shoot video ya laki 4 low quality vp utaweza kumfikia m2 kama
AY anaye shoot video million 30, vp utaweza kupigwa kwnye vi2o vya
kimataifa na kujulikana africa na dunia kama CHANEL O, MTV, TRACE na
vinginevyo wakati una video ya miyeyusho! kwa hilo pia nikagundua
mtanashati akuna kazi ila sifa 2. kama mwanamuziki nnayejitambua
nahitaji kufika mbali siwezi kukaa sehem kama hiyo kwani video za laki 4
mi mwnyewe nilikuwa nafanya na kampuni yangu ya MEGA PIX 20. M2 kama
PNC awezi kuliona hilo wala kujitoa kwa sbb chumba anacholala kodi
kalipa ostadh juma na dogo janja pia inabidi amtetee ostadh juma kwa sbb
asipofanya hivyo atakosa pa kulala, kula na atarudi ARUSHA so lazima
wamtetee ostadh juma na kunikandamiza mimi ili waendelee kuwa mjini! ila
OSTADH JUMA ANAZINGUA na sbb anazotoa kuhusu mimi na MANAGER MANENO ni
za uongo anatengeneza mazingira ya kujisafisha. kuhakiki hilo angalia
video zote za wa2 wa mtanashati zinakoshutiwa ni sehem za laki 4 so kwa
hali iyo m2 utaenda wapi? kaona bolingo wa2 awasikilizi sana so hta
akipaishwa jina alikui sana akaona bola atumie wabongo fleva ili a HIT
TZ na kafanikiwa kwa ilo ila kwa kazi akuna. na hta uo mkwanja so kiivyo
kama watanzania mnavyosikia mi mwnyewe nilikuwa najua kama nyie, ila
kuna mengi ukiingia ndo utayajua! CKO MTANASHATI NIMEJITOA ananitishia
kunionyesha kuwa yeye ndo OSTADH JUMA anamtishia manager maneno ila ndo
mziki NAHITAJI SUPPORT YENU NA UKWELI NDIO UO! DOGO JANJA, PNC NA AMAZON
wamepangwa yakusema ili wapotoshe ukweli.. haha hahaa chunguza
niliyoyasema mi msanii wa watanzania so ostadh juma. DOGO JANJA NA PNC
NDO WAMEKUWA WASEMAJI BAADA YA KUPANGWA WAKATI MI NAONGEA NA OSTADH
JUMA. KWELI NJAA NOMA! JANJA ANASAHAU MI MSANII KAMA YEYE ILA OSTADH
JUMA SO MSANII. na nimemuandikia mashairi kwnye watasubri ya MTANASHATI
na ile ya waanga wa meli! si angeandikiwa na OSTADH.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment