October 02, 2012

nHili ndilo jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 ambalo mwanamuziki wa Hiphop Rick Ross “The Boss”kutoka  kutoka nchini Marekani ataongoza wasanii mbalimbali wa nyumbani kutoa burudani katika tamasha hilo litakalofanyika kwenye viwanja wa Leaders jijini Dar es salaam Oktoba 6 Jumamosi ijayo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE