September 01, 2014

 
Nay wa Mitego   akifafanua jambo 
  Mkali wa muziki wa kizazi kipya toka Manzese Emmanuel Elibariki Nay wa mitego, yupo mbiaoni kukamilisha albam yake.
   Akizungumza na ubalozini.bnlogspot.com Mjini Moshi kwenye show za Fiesta zilizofanyika 30 aug Nay amesema kwelin yupo mbioni kukamilisha albam hiyo na mashabiki wake mkao wa kula
   "\kweli nina mpango wa kuachia albam kwa sasa baada ya kufanya hit song nyingi na masgabiki kunielewa sana, sasa nimedhamilia kuwapa ladha halisi kamili ya Nay wamitego'' Albam mpaka sasa bado nyimbo chache tu kukamilika, japo hajaweka adhalani jina la albam hiyo lakini kutoka kwa watu wa karibu na nay wamesema albam inaweza kuitwa ANAFAA ambao ndiyo wimbo mpya unaofwata baada ya MR: Nay kufanya vizuri sana

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE