October 26, 2014


7 
Tamasha la Serengeti  Fiesta 2014likiendelea kukamilisha ratiba yake kwa mwaka huu. Uaiku wa kuamkia leo ilikuwa ni zamu ya wakazi wa Kigoma kuusambaza upendo katika uwanja wa Lake Tanganyika. Wakishuhudia show kali kutoka kwa wakali wa mziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na Linah, Madee, T.I.D, Stamina, Rachel, Ali Kiba, Linex, Baba Levo, Mr. Blue, Chege na Makomando.
6 

2 
 Umati wa wana Kigoma wakisambaza upendo

5 
Rais wa Manzese Madee kwenye stage ya Fiesta Kigoma

8 

9

10 

1 

11 
 Mwana dada Rachel toka THT akifanya kweli

14 
 Mkongwe TID
3


15

 Mr. Blue jukwaania

17 

19 

18 

20 

21 

22 


24 
The king of Bongo Freva Ally Kiba akiwapa ladha wana Kigoma

25 
 Stamina Kabwela

27 
Linex baba Halima

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE