October 17, 2014


8stg 
Baada ya kupita mikoa mbalimbali ya Tanzania sasa imefika zamu ya wakazi wa Dar es salaam 88.5 kuonja utamu huu wenye msimu wa mafanikio ndani yake sehemu moja ambayo tutakusanyika wote.
Leaders Club ndiye sehemu pekee iliyoteuliwa kuwapokea wakali mbalimbali akiwemo Waje kutoka Nigeria,Victoria Kimani kutoka Kenya,T.i na wasanii wengine ambao watakua kama surprise kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Dsm.

 Jukwaa tayari limekamilika kwa asilimia zaidi ya 80 na wasanii mbalimbali leo wataanza kulifanyia mazoezi kabla ya shughuli yenyewe ambayo ni kesho Oct 18,kiingilio ni 15,000 ukinunua kabla na 25,000 pale Getini.
Baadhi ya picha za hili jukwaa la Serengeti Fiesta Dar es salaam.
13stg 

12stg 

10stg 

9stg 

11stg 


13stg 


8stg 

10stg 

8stg 

7stg 

6stg 

5stg 

5stg 

25stg   21stg    16stg 

19stg 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE