October 22, 2014


 
 Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond'.
Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE