December 20, 2014

 Hii ni ngoma mpya kabisa kutoka kwa mtayarishaji wa muziki mkoani Morogoro anayefanya vema kwa sasa katika anga ya muziki wa kizazi kipya ni Vennt Skillz wa kwanza Records hapa kamshirikisha mkali wa R $ B mkoani Morogoro Kenni Kennie. Hapa wanakwambia BAMBA

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE