December 22, 2014

 
 Kampuni ya usambazaji wa filamu nchini "Steps Entertainment" wameshusha bei ya filamu hadi kufikia shilingi 1,500 kwa nakala moja ili kujaribu kupambana na waharamia wa kazi za wasanii,baadhi ya wasanii wameilalamika kampuni hiyo kwani kwa kufanya hivyo ni kuwanyonya wasanii na kazi zao.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE