December 20, 2014

 
 Ukiiskia sauti ya leo ya Ray c  huwezi kumtofautisha kabisa na Ray c yule wa kitambo, sauti ile ile na swaga zile zile. Hapa anakwambia Mshum  mshum. Huu niwimbo wake wa kwanza tangu aamue kurudi katika game baada ya kukaa kando kwa muda sasa.

SKILIZA HAPA

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE