Sherehe ya kutimiza siku 40 ya mtoto wa Staa wa Bongo
Fleva,Diamond,Tiffah inatarajiwa kufanyika Septemba 20 nyumbani kwa
‘’State House’’ Tegeta,pia inaandaliwa na kamati maalum ya watu watano.
Maandalizi ya sherehe asilimia kubwa yameshakamilia na yalianza
kuandaliwa kwa muda wa wiki mbili sasa chini ya wanakamati maalum ambayo
inaongozwa na mama Diamond’’Sanura Kassim’. Wanakamati wengine ni dada wawili wa msanii ambao ni Esma Khan na Queen Darlin.
UJUMBE WA WATU 19 KUTOKA MALASYIA KUTUA DAR
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
TANZANIA inatarajiwa kupokea ujumbe mkubwa wa viongozi wa elimu ya juu
kutoka Malaysia, wakiwemo viongozi kutoka Wizara ...
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment