Katika kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi kwa Tanzania, msanii na mwana harakati R.O.M.A Mkatoliki, amekuletea wimbo huu mpya na mwenyewe akisema kama zawadi kwa watanzania wote waupate na kuuskiliza.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment