May 29, 2016


Baada ya kutoa ngoma yake pamoja na video iliyo julikana kwa jina la Vanessa ambayo mpaka sasa bado inafanya hapa tanzania msanii Bexy wamusic  ametoa wimbo kama bonus kwa  mashabiki wake ambao ni rmx  ya wimbo wa msanii mkongwe toka nchini uganda dk jose chamelione  pia nikawaida kwa bexy wa music kutoa rmx  za aina hiyo alishawahi kutoa rmzx ya wimbo wa msanii nguli toka tanzani Diamiond platnum alioimba na Qeen darling unaoitwa ukisinzia Bexy wamusic anaomba sana sapot  toka kwa wadau wa music tanzania


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE