July 18, 2016


Amekaa klwenye game kwa muda mrefu na aliandika historia ya Tanzania Music Award baada ya kuchukua tuzo 5.Akakaa nje ya game kwa muda. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa sana wa kutunga nyimbo zenye ujumbe na sauti yake ya hisia. Anaitwa 20% Hii leo ametuletea wimbo mpya kabisa unaitwa Sitoi. Huu hapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE