Mapema leo, Julai
18, 2016 Wakurugenzi 6 na Mameneja 6 wa NSSF walisimamishwa kazi ili
kupisha uchunguzi wa utumiaji mbaya wa madaraka katika kutoa ajira,
manunuzi na mengineyo. Hapa chini ni taarifa ya ukaguzi wa hesabu za
serikali kuonyesha namna tuhuma hizo zilivyotokea.
July 18, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment