Taarifa kutokea Bunda: Mbunge wa jimbo la Bunda-mjini, Esther Amos
Bulaya, ameshinda kesi yake ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili,
iliyofunguliwa na wanachama 4 wa CCM na aliyekuwa mgombea ubunge wa
chama hicho, Steven Wassira.., kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi
ilifunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, lakini ilikuwa
inasikilizwa mjini Musoma, Mara.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment