December 03, 2016

 

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, aliyekuwa na mgogoro na upande wa Katibu  Mkuu baada ya kutangaza nia ya Kujiuzulu na baadaye kutengua kauli yake Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, ameambulia patupu baada ya kukataliwa na wananchi wa Lindi hapoa jana alipokwenda kufanya mkutano na wanachama wa Chama hicho.

Tazama Video hapa chini


                          

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE