January 16, 2017

 Image result for town

Unawakumbuka Bio na Issa E? walitamba sana na wimbo wa Analalamika, Lakini hawakusimama, wakaja na wimbo wa BIBI, ulifanya poa sana nao, wakapotea kwenye game, baada ya Kimya cha muda nrefu sana, sasa wasanii hawa wamekuja na bonge ya ngoma mpya inaitwa Kimjini Mjini. Waweza itazama hapa chini

                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE