March 22, 2017

 

Kumekuwapo na taarifa na kuthibitishwa na uongozi wa Clouds Media Group kwa kampuni hiyo ilivamiwa mnamo wa 17 March 2017, tukio hilo lilifanywa na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Ndugu. Paul Makonda akiwa na askari kadhaa waliokuwa na silaha. Baad ya tukio hilo watu na wadau mbalimbali wamekuwa wakitoa pole katika kituo hicho kwa tukio hilo la kutisha. Mapema leo Askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima naye amefanya ziara katika kituo hicho leo .

 

 



            

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE