October 15, 2017

Image result for HARMONIZE FT KOREDE BELLO - SHULALA (OFFICIAL VIDEO)
 Lile colabo lililokuwa likisubiliwa kwa hamu kubwa sana Afrika la wasanii toka W C B Wasafi la Harmonize na mwanamuziki kutoka Nigeria katika Lebo ya Maving inayomilikiwa na Don Jazz. Limekamilika, Mwanamuziki Harmonize hapa ametuletea mwanamuziki Korede Bello wanakwambia Shulala

                

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE