October 17, 2017

  

CHAMA kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kimeishinikiza serikali kuruhusu vyombo vya uchunguzi vya kimataifa kuchunguza juu ya tukio la kupigwa risasi mbunge wa Singida mashariki na Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo mapema leo hii kuwa, hawana imani na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchini . Mbowe pia amedai wameshangazwa na kuondolewa kwa kamera za cctv nyumba ya waziri iliopo jirani na shambulio la kupigwa risasi kwa mbunge huyo ambaye afya yake inaimarika.

Tazama Video hapa Chini
                        


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE