Mwanamuziki wa bongo fleva Zuwena Mohammed maarufu Shilole, hapo jana alifunga pingu za maisha. Katika harusi hiyo iliyohuzuliwa na mastar kibao wa bongo, ilikuwa ni ya aina yake kufuatia kutawala kwa style mbalimbali walizozitoa wasanii hao. Tazama baadhi ya matukio hayo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment