February 17, 2018

 
Kwa mara ya kwanza kabisa mwanamuziki Papii Kocha mtoto wa Mfalme, amepanda jukwaani katika usiku wa mapenzi18 NdandyAslay na Marafaiki, show iliyofanyika usiku wa kuamakia leo hii pale Ascape One Mikocheni, Kiu na hamu ya mashabiki wa muziki ni kumuona Papii akifanya show jukwaani mara baada ya kutoka jela. Alifanya show fupi ya wimbo mmoja wa waambie. 

Hata hivyo Papii hakuimba mda mrefu na mwishoni Aslay alitangaza kwamba kuna show kubwa ya Papii itafanyika siku za usoni.

                          

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE