May 16, 2014

Music : Danger Ranger ft Viva Conscious and Mourice
Song : Maisha yetu Yalivyo
Produced by Mesen Selekta

Huu ni wimbo wa kwanza toka katika mradi wa Viva conscious arts Presenting ambao unatoa Fursa ya Kusaidia Wasanii  Underground wenye vipaji vya hali ya juu na wanaoishi katika mazingira Magumu. Dhumuni ni kuhakikisha wasanii wenye vipaji vya hali ya juu kuona matunda ya vipaji vyao na kujitoa katika dhana ya mambo mabaya ya  mtaa kama matumizi ya dawa za kulevya na kadhalika. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 
 SIKILIZA HAPA NA WAWEZA KU SHARE NA WENGINE

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE