Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulipata nafasi ya kusikilizwa na Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa ‘mfalme’ wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na umefanywa na Producer Nahreel.
Baada ya kuusikiliza usiache kuandika yako ya moyoni kwenye comment hapa chini kisha Mwana FA atapita hapa usiku kusoma ulichoandika.
Bonyeza play kusikiliza.
CANADA YAIPA TANZANIA DOZI MIL 23 ZA VITAMINI A.
-
Na John Mapepele
Serikali ya Canada kupitia Shirika lake linaloshughulika na masuala ya
lishe duniani la Nutrition International imetoa dozi milioni 23 z...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment