Kwa style yake ya kuimba imemfanya awe Mfalme wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kwetu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Chamwino,Mafisa, Msamvu, Kichangani, Mwembesongo na mpaka sasa amevuka kila mahali sio tena uswahilini tu sasa mpaka ushuani wenyewe wanamuelewa, hakika ukisikia nyimbo zake hata kama ulikuwa hupendi miondoko hiyo basi utajikuta unatingisha hata kichwa na kujikuta unaanza kuipenda taratiiiiiiiiiiiibu, sasa tazama hii moja ya Show ambayo ame perform.
Rais Samia: Tulitumia nguvu inayostahili, walitaka kufanya mapinduzi
-
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema walitumia nguvu
inayostahili kudhibiti vurugu za tarehe...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment