December 07, 2015

Mwanamuziki nguli wa Hip Hop nchini Tanzania JayMoe,aliyewahi kutamba na ngoma kama Mvua na Jua, Story Tatu Tofauti, Maisha ya Bordning na nyimbo zingine kibao. Amekuja tena na wimbo wake huu mpya aliomshirikisha Deddy uitwao HILI GAME uliofanywa na producer mkongwe nchini P Funk Majani.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE