January 30, 2016

 

Mvua kubwa iliyonyesha jioni ya leo mkoani Morogoro imesababisha baadhi ya shughuli kusimama kwa muda. 


 Mvua hiyo iliyodumu kwa zaidi ya dk 45,imeonekana kuathili zaidi katika mitaa ya mitaa ya madaraka, Karume, makongoro na hata barabara ya Korogwe ambapo.


Katika solo kuu la mkoa wa Morogoro shughuli za kibiashara zilisimama pia kutokana na mvua hizo kubwa.
 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE