
Ziara
ya Rais Magufuli Rwanda, imeleta neema baada ya Rais wa Rwanda Paul
Kagame, kumgawia ng'ombe watano rais wa Tanzania kama ishara ya upendo
na Ushirikiano. Hii inaleta hali na Muamko mpya baina ya Tanzania na
Rwanda ulokuwa umefifia kiasi cha Rais wa Rwanda kumwambia rais wa
Tanzania aliyemaliza Muda wake Jakaya Kikwete kwamba "angemhit" Kagame
tells Kikwete "I will hit you.
Mungu atujaliye Maisha mema kati ya Tanzania na Rwanda

0 MAONI YAKO:
Post a Comment