Kuelekea mechi ya kimataifa dhidi ya TP Mazembe klabu ya Yanga imeitupia lawama shirikisho la soka nchini Tanzania TFF kwa kuwahujumu katika haki za kurusha matangazo ya mechi hiyo.lawama hizo zimekuja baada ya kituo cha Azam kuingia mkataba na TFF bila ya kuishirikisha klabu hiyo. Pia msemaji huyo wa Yanga alitoa ufafanuzi ya jinsi gani ya mchakato unvyotakiwa kufanyika Kutoka shirikisho la soka barani Africa CAF Pata habari kamili hapa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment