Diamond platnumz amesema hakuna ugomvi ndani ya familia yao kati ya mama
yake, dada yake na Zari ila mashabiki ndio wanaokuza kwa kuwa wana IQ
ndogo ya kutafsiri kinachopostiwa mtandaoni na watu hao...
Kuhusu kuwa na mahusiano na wasichana wengine amedi kuwa watu wanadi
hivyo kwa kuwa kila wakimuona na msichana mzuri wanafikiri anapiga kwa
kuwa wao wana mazoea ya kupiga kila msichana mzuri..
0 MAONI YAKO:
Post a Comment