August 21, 2017

Image may contain: 1 person, smiling
Mwanamuziki Dayna Nyange amezungumzia sababu zilizomfanya kumtumia model wa kiume kwenye video ya wimbo mpya, Chovya. Dayna amesema kuwa alihitaji mwananume ambae ataenjoy zaidi kufanya naye kazi.
“Kufanya video na video king wa nje haina maana kwamba hapa nyumbani hamna wakaka hapana, ila nilitaka nifanye kitu na mtu ambaye ataleta maana ya nyimbo. Nyimbo inamsifia mtu, nyimbo inaonesha mtu uliyekuwa naye anajivunia kufanya na wewe so hicho ndio kikubwa nilichokuwa nakitaka,” amesema.
“Mwisho wa siku nikakutana na mdogo wake Drake tukafanya kazi na akaitendea haki.”

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE