January 08, 2015

DIAMOND NDANI YA LAGOS NCHINI NIGERIA, AKAGUA JUKWAA ATAKALOPAFOMU LEO KWENYE TUZO ZA MWANASOKA BORA AFRIKA

 
Mwanamuziki Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akilikagua jukwaa atakapopiga shoo hapo kesho kwenye zoezi la utoaji tuzo za Mchezaji Bora wa Afrika katika Jiji la Lagos nchini Nigeria

No comments:

Post a Comment