January 07, 2015

KAMA ULIKUWA HUJUI BASI, HII NDIYO RANGI YA MWAKA 2015 INAYOITWA MARSALA

 

 Wakati ikiwa leo ni siku ya saba tangu mwaka 2015 umeingia, basi hii ni muhimu kwa wewe unayependa kwenda na wakati, Hpa tunakufahamisha kwa rangi ya mwaka 2015 inaitwa MARSALA,
 Hapa chini ni baadhi ya picha tofauti zikionesha mitindo ya mavazi na urembo wa rangi ya mwaka huu
  


 
  

No comments:

Post a Comment