April 04, 2016

Inasikitisha sana.Kutana na Millen Magese, akielezea tatizo lake la Ugumba, aamua kuondoa kizazi


Millen Magese ni mwanamitindo Mtanzania ambaye amekua akifanya kazi na kuishi nchi mbalimbali duniani ikiwemo South Africa na Marekani, amesumbuliwa na tatizo ambalo limemfanya afanyiwe oparesheni mara 13 mpaka sasa, ungana nae kwenye hii video kujua zaidi


                             

No comments:

Post a Comment