March 14, 2013

MUONEKANO WA LULU AKIWA MTAANI BAADA YA KUWA HURU




     Baada ya kuachwa huru kwa dhamana, msanii wa filamu Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama Lulu ameonekana kuwa kimya sana ila hivi karibuni ameonekana kutupia picha mtandaoni akiwa kwenye muonekano wake mpya akiwa na rafiki yake wa karibu, picha hizo zilipigwa mahali anapoishi Lulu na nyingine ikiwa ni kwenye gari.

Cheki picha zenyewe hapa chini...

'

   CHANZO GongaMx


No comments:

Post a Comment