CPWAA
Mwanamuki toka Tanzania ambaye anata,ba katika anga ya mziki wa kimataifa Harifa Ilunga maarufu kama CPWAA, amewataka waandaji wa muziki wa Tanzania wajaribu kujitangaza kimataifa
Akiandika katika ukurasa wake wa facebook CP amesema
Naitwa
CPwaa, Tanzania ndio nchi yangu! Walishanikubali na wanaheshimu Juhudi
zangu! Afrika wamenisikia,wamenielewa,Wamenikubali! Dunia
inanisikilizia,inasubiri...Ni Muda wa mabadiliko..Michongo ya nje
inazidi kunifata! Ndugu zangu mfuatao naomba tufanye kazi,jukumu ni letu
wote kufikisha mziki huu kimataifa..Hola at me Lucci(TransforMax),PFUNK
(BongoRecords),MarcoChale n MJ(MJ
Records),Duke(MLab),Lamar(FishCrab),(Ryder n Murder)Tongwe
Records,Proveli(Peponi records)MesenSelekta,DX(Arusha),Maneek(A.M
Records),Alan Mapigo,Pancho n Hammy B(B Hits),na wengine wote R.I.P
kaka/Producer COMPLEX and ROY.The FUTURE IS HERE! PWAAAA!
No comments:
Post a Comment