Kundi la muziki wa HIP HOP toka Mkoani Morogoro linalojulikana kama, team racers,wankuja upya na wimbo mpya wa mixtape yao unaoitwa, Freak. akizungumza nami katika studio za Digital Vibes, kwa niaba ya Racers, Conscious, amesema eimbo hwo umefanyika katyika studio hizo chini ya Producer GQ.
No comments:
Post a Comment