October 24, 2013

TAZAMA SHABIKI HUYU WA YANGA AKIONGELEA HISIA ZAKE JUU YA MATOKEO NA SIMBA

       

Wengi wanaopenda kusikia kutoka kwa shabiki huyu maarufu, walitaka kusikia atasema nini baada ya mechi ya Yanga na Simba October 20 2013 ambapo Yanga anayoishabikia Steven ilikua inaongoza kwa magoli matatu bila mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika lakini zikarudishwa na Simba zote kipindi cha pili, haya hapa chini ni maoni yake pia vilevile amemtaja mwigizaji wa movie anaempenda Tanzania na ana ujumbe wake

No comments:

Post a Comment