October 23, 2013

VIDEO TOKA SOUTH AFRICA AMBAYO PRODUCER TRISS KASHIRIKISHWA Yessi - Big Willy & MACKUSON Feat. Triss

    


Pruducer Triss toka Tanzania anazidi kufanya poa baada ya kufanya kazi nbalimbali na wasanii wa kimataifa. Hapa ametengeneza wimbo huu lakini pia nae ameshiriki kuimba  na wanamuziki toka Ufaransa

No comments:

Post a Comment