January 02, 2016

Diva wa clouds afunguka kila kitu ndani ya mkasi

 
Kama ulipitwa na kipindi hiki, mtangazaji mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni katika kipindi cha mahusiano cha Ala za roho cha clouds Fm, Diva Gissele Malinzi @Divathebawse amefunguka kila kitu alichokuwa anahusishwa nacho.
  Unajuwa kwamba diva ni mtoto wa Malinzi? bofya hapa chini uweze kutazama interview nzima ya Mkasi inayomuhusu Diva
                          

No comments:

Post a Comment