August 24, 2019

Klabu Bingwa Afrika,Yanga yasonga mbele

KLABU BINGWA AFRIKA: Yanga SC haichagui, inakufunga hata kwenu 
Klabu ya YANGA imefuzu hatua ya pili ya Klabu Bingwa Afrika baada ya ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Towship Rollers ya Botswana.

Bao la Yanga SC limefungwa na Juma Balinya katika 42 na kuifanya Yanga ifuzu kwa Agg 2-1 baada ya mchezo wa awali uliopigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya 1-1 wiki mbili zilizopita.

No comments:

Post a Comment