October 13, 2019

New Audio: Baba wa Taifa - Zombie ft Bestiny


Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka ishirini ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere Baba wa Taifa. Mwanamuziki toka mkoani Morogoro Zombie ametuletea wimbo maalum wa maombolezo ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl.

            

No comments:

Post a Comment