Young Dee Amchana Dogo Janja "Ameshindwa Muziki na Kwa Umri Wake Sio wa Kupost na Kuringishia Viatu na Nguo, ni Marioo"
Kwenye Refresh ya Wasafi Tv, Dee
amekazia kuwa siku zote wanawake wanajua Marioo anataka nini, hivyo
mpenzi wake Janjaro amejua Jamaa anapenda viatu,nguo mpya na kusafiri na
ndicho anacho kifanya hadi Dogo Janja kasahau kitu kinaitwa muziki.😁
No comments:
Post a Comment