yote haya yametokana na kuzuiliwa kwa Cyrill kufanya show na BASATA siku ya jumapili iliyopita (ambapo alifanikiwa kuifanya) kwa kudaiwa ni mkenya, wakati huo huo Ommy Dimpoz akiwa na show yake siku hiyohiyo, ndipo Ommy Dimpoz alipofunguka kwenye media na kusema kuwa Cyrill anatangaza kuwa yeye ndio kamfanyia fitna ili asifanye show. Ommy alikua akipiga show ndani ya Billcanas wakati Cyrill akifanya show yake Club Maisha
kwahabari zaidi sikiliza xxl kesho ambapo Ommy Dimpoz nae atasema ya kwake
0 MAONI YAKO:
Post a Comment