AMALIZA VIDEO YAKE NA SASA IPO MTANDAONI
AMALIZA TOFAUTI ZAKE NA ALIYEKUWA MENEJA WAKE SALIM CHUMA SAS NI DAM DAM
Wimbo umefanika katika studio za one music mjini Morogoro na Video ya wimbo huwo ambayo ipo tayari na punde itaanza kuonekana imefanyika katika studio za E MEDIA chini ya mtayarishaji ABBAS
Hapa akiwa kwenye location na vijana wa E-Media.
Kwa upande mwingine Criss amesema kwamba amemaliza tofauti zake na aliyekuwa meneja wake Salim Chuma na sasa ni marafiki, Kwa upande wake Salim amekili huilo na ku ahidi kutoa ushirikiano mzuri na Kijana wake huyo wa zamani

0 MAONI YAKO:
Post a Comment