Msanii wa bongofleva kutoka
THT,Barnaba akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la
serengeti fiesta 2012 ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
|

Mmoja
wa wasanii chipukizi ndani ya Mbeya akikamua vilivyo usiku huu mbele ya
washabiki
wake waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
wake waliojitokeza kwa wingi ndani ya uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.

Ni Shangwe tu ndani ya uwanja wa Sokoine.

Wakazi wa Mbeya wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Fiesta usiku huu.

Wakazi wa Mbeya na vitongoji vyake wakishangweka vilivyo ndani ya uwanja wa sokoine usiku huu

Mmoja
wa Ma-Mc na pia ni mtangazaji wa Clouds FM,Adam Mchomvu akitaka
kulianzisha usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 ndani ya
uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya.
Mkali wa mziki wa HIP HOP Tanzania Stamina akikinukisha vibaya ndani ya Jukwaa la FIESTA 2012 Mbeya usiku huu
Moro alikuwa DJ zero, Hapa ni DJ PQ. bhaaassss
0 MAONI YAKO:
Post a Comment