THE BOSS

RICK ROSS.

Yap. Habari ndiyo hiyo. imefahamika kuwa mkali wa HIP HOP Ulimwenguni kijana toka kwa OBAMA. Rick Rozay ndiye atakayekinukisha siku ya kilele cha Msimu wa Fiesta ndani ya ardhi ya Tanzania

Yap. Habari ndiyo hiyo. imefahamika kuwa mkali wa HIP HOP Ulimwenguni kijana toka kwa OBAMA. Rick Rozay ndiye atakayekinukisha siku ya kilele cha Msimu wa Fiesta ndani ya ardhi ya Tanzania
Huku
akifwatana na team nzima ya Maybac music double MMG Ambayo Rozay
anaiwakirisha ikiwa na Vichw a kama Stalley,Omarion,Meek
milli,pamoja na jembe lenyewe Rick Rozay Boss siku ya tarehe 6
OCTOBER 2012. serengeti fiesta 2012 sa BHAAAAASSSSS
0 MAONI YAKO:
Post a Comment