Machaku blog

Latest info kutoka kwa msanii huyu ni kwamba siku za hivi karibuni baada ya kukutana Mr Dickson Mkama ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Dmk Global Promotion &Northen zone ambayo inahusisha matawi ya U.S.A,UK & Tzee ni kwamba imethibitika msanii huyu ataanza tour yake ya kupiga show nchini Marekani na Canada baada ya kusaini mkataba huo na Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni anayefahamika kwa jina la Mr Dickson Mkama.
Hii ni picha ambayo inayoonyesha Msanii Ommy Dimpoz baada ya kumaliza kusaini mkataba wa kuanza Tour yake rasmi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment