Msanii wa muziki wa kizazi kipya toka Morogoro mwanadada Dayna Nyange, ameuamua kuukaribisha mwaka mpya kwa haina yake baada ya kuamua kufunguka ya moyoni mwake.
Dayna kupitia ukurasa wake wa Facebook ameamua kuyatoa yake ya moyoni kwa kutoa shukrani zake kwa watanzania na vyombo vyote vya habari na wadau wa muziki.
Mambo vp ndugu zangu. Napenda kuchukua nafasi
hii kuwatakia maandalizi mema ya mwaka mpya. Mungu atupe nguvu na neema
zaidi ktk mwaka 2013. Mwaka 2012 tutaukumbuka kwa mengi yapo mema na
mabaya. Naomba nikuombe radh wewe kwa lolote ambalo niliwah kukukosea,
nawe kama ulinikosea sina tatizo nawe tangu sasa. pia naomba nitoe
shukrani zangu kwa wote waliohusika ktk mafanikio yangu ya kimuziki.
Naamini wengi mlikuwa mstari wa mbele
ktk kunishauri, kunipongeza nahata kunikosoa nilipokosea. Shukrani nying
zwafikie radio presenter, dj's, radio na tv zote tz na Afrika naamini
bla nyinyi kuzicheza nymbo zang Basi nisingefika hapa. Waandaz wa
magaazeti mlikuwa mstari wa mbele ktk kuona nafika mbali kwa kuandika
habari zangu na kufika hata vjijini. Nachukua fursa kuwashukuru pia.
Blogs mbalimbali. Mlikuwa mstari wa mbele kwakuandka habari na kupost
hata baadh ya show zangu ambazo mmenipa heshma ya kufika mbali zaid na
kusikika hata nje ya nch mchango wenu ni mkubwa japo siwez kuwataja
wote. Pia Requester wa media cna cha kuwalipa nawashkuru sana sana na
ntabaki kuwaheshmu kwani mmetoa mchango mkubwa sana kwa kuomba nymbo
zangu media na zikachezwa Na amini ni mchango mkubwa sana ktk game hasa
kwetu wasanii Ntabaki kuwaheshimu na kuwathamini siku zote. Bila
kuwasahau wasanii wenzangu walikuwa nami bega kwa bega ktk kunishauli
na kunisaidia kwa chochote.Pia ma dj wa club mbalimbali, mmekuwa chachu
ya mzk wangu pale mlipoonesha ushirikiann wenu kwangu. Pia Waandaaji wa
(show) matamasha madogo na makubwa nawashukuru sana sana kwa kuniamini
na kukubali kufanya kazi na mm Siwasahau maproducers wa video na Audio
na studio mbalimbali kwa kunifanyia kaz za uhakika na jamii ikanikubali
kwa kazi hzo. Wote kwa pamoja naamini sasa ni kama ndugu. Nawaomba
muonyeshe tena moyo huwo na mwaka ujao na mingine kwani kaz nzur ni
yenye kushirikiana. Msisite kama ntawakosea naomba msisite kunikanya na
kunisamehe. Napenda wote na kuwajali. Nawatakia kheri ya mwaka mpya.
Ts me
Dayna Nyange (mkali wao)

Dayna Nyange
Brog hii inakutakia mwaka mpya wenye mafanikio na mungu akuzidishie kila la kheri
0 MAONI YAKO:
Post a Comment