
snura mushi.....
Huyu naye ni msanii wa flam aliyeamua kuyanadi makalio yake katika mitandao mbali mbali.......Siku hizi imekuwa fashen.....Kibaya chajiuza....!!! ---------------------------------------------------
>>>“Tangu nikiwa mtoto nilikuwa na makalio na haya nimerithi kwa bibi yangu kwani alikuwa mnene sana.”

>>>“Huwa napenda kuvaa magauni marefu kwa sababu huwa najiona ninapendeza, shepu yangu inaonekana vizuri na nimejisitiri pia.”
>>>“Sijui saizi kwa sababu huwa sivai nguo za ndani.”
![]() |
>>>“Usumbufu ni mkubwa sana kutoka kwa wanaume, baadhi yao ukipita wanakuomba namba za simu.” >>>“Natamani kupungua kidogo juu lakini siyo makalio kwa sababu hili ni pambo kwenye kazi yangu ya muziki.”na Mpekuzi: |
0 MAONI YAKO:
Post a Comment